Clever Touch
Wasafi
Sura yake mtaratibu
Mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu
Ila namkumbuka sanaaa
Umbo lake mahbibu
Kwenye maradhi alonitibu
Siri yangu kaharibu
Bado namkumbuka sanaaa
Alonifanya silali
Jua kali nitafute tukale
Lakini hata hakujali, darling
Akatekwa na wale
Alonifanya silali
Jua kali nitafute tukale
Ila wala hakujali, darling
ah aaaaa
Nitampata wapi kama yule nilompendaga sana
Nitampata wapi kama yule anipende sana
Nitampata wapi kama yule nilompendaga sana
Nitampata wapi kama yule anipende sana
Aii nyotaa, nyota ndo tatizo langu
Aii nyotaa, mpaka nalia peke yangu
Aii nyotaaa, nyota ndo shida yangu uu
Nyotaa wamenizidi wenzangu
Alidanganywa na wale, waaale
Wenye pesa nyumba, gari, gaari
Mi kapuku hakunijali, jaaali
Akanikimbia
Alidanganywa na wale, waaale
Wenye pesa nyumba, gari, gaari
Mi mnyonge hakunijali, jaaali
Akanikimbia
Alonifanya silali
Jua kali nitafute tukale
Lakini hata hakujali, darling
Akatekwa na wale
Alonifanya silali
Jua kali nitafute tukale
Ila wala hakujali, darling
ah aaaaa
Nitampata wapi kama yule nilompendaga sana
Nitampata wapi kama yule anipende sana
Nitampata wapi kama yule nilompendaga sana
Nitampata wapi kama yule anipende sana
Bado ananijia ndotoni
Ila nikiamka simuoni
Bado ananijia nikilala
Haki ya Mungu sio masiala
Bado ananijia ndotoni
Ila nikiamka simuoni
Bado ananijia nikilala
Haki ya Mungu sio masiala
Ehe so Touch Clever
Hii ni sauti ya rais
Ilomshindaga ibilisi
Kwa mwanadamu siyo rahisi
Aha kamwambie
Lazima ujue kutofautisha
Kati ya msalaba na jumlisha
Kuna X na kuzidisha
Ni cheche
Bado ananijia nikilala
Haki ya Mungu sio masiala