Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi
Lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza
Mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma
Fikira zako ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki wa mtima
Haya uliyofanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona
Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye mimi na yeye
Kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue kwa nini why
Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda huwa anapenda kweli
Mapenzi yana run dunia x14
Feel free to love x2
Wajua kuna waliobadilisha dini na yote sababu ya kupenda
Na kuna waliokimbia hii dunia sababu hiyohiyo kupenda
Yule alikupenda sana ninajua na mambo mengi umefanya ilala
Best wangu nilimpenda umefanya mpaka sasa kajiua
Fikira zako ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki wa mtima
Haya uliyofanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona
Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye mimi na yeye
Kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue kwa nini why
Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda huwa anapenda kweli
Mapenzi yana run dunia ...
Feel free to love ...